WATOTO WA NYOTA ZA MSHALE
WATOTO WA NYOTA
ZA
MSHALE
Nyota ya Mshale kwa watoto waliozaliwa kati ya Tarehe 23 November mpaka tarehe 21 Desemba

Watoto wa
Nyota hii wana tabasamu na bashasha ya hali ya juu, hata katika picha za pamoja
nyumbani au shule au katika kikundi chochote itakuwa rahisi kwako kumtambua.
Watoto hawa
wanapenda sana matukio na wako tayari hata kwenda mbali kuyatafuta matukio hayo
. wana tabia ya kupenda jambo Fulani moja kwa moja, kwa ni jukumu la wazazi wa
Watoto hawa kuwafunza kuhusu ubaya na uzuri wa mambo hii itawasaidia katika
kukuza kipaji chao cha asili cha kuona mbali
Mzazi unatakiwa uwahimize sana wajishughulishe na mambo yote ya kutumia nguvu na akili.
Mzazi unatakiwa uwahimize sana wajishughulishe na mambo yote ya kutumia nguvu na akili.
Watoto hawa
huwa wanafurahia sana kufanya kazi za kawaida lakini huwa wanachoka haraka ni
vizuri kwa mzazi ukitumia nafasi hii kuwafanya wajishughulishe na kazi ambazo
zitakuwa na manufaa kwao hapo baadae.
Pamoja na hayo Wanaweza kuwa wasumbufu na wenye kusita sita au kuchelewesha muda unapompa majukumu au kazi ambazo hazimsisimui.
Watoto hawa ni waaminifu na wana uchungu wa kusema ukweli katika jambo lolote na wakisema jambo huwa na uhakika nalo na wanapenda wewe kama mzazi umwambie ukweli na uwe na uhakika na hilo unalosema. Kuna wakati mwingine unaweza kumdanganya sio wakati wote.

wako tayari kufuata sheria wanapoona kwa kufanya hivyo kuna maana. Kama unataka
kumwambia mtoto wa Nyota hii jambo la kufanya hakikisha jambo lenyewe lina
mantiki.
MBUZI
Nyota ya Mbuzi kwa watoto waliozaliwa kati ya Tarehe 22 Desemba mpaka tarehe 20 January
Watoto wa Nyota Mbuzi wana tabia ya kufuata desturi kuliko hata wazazi wao. Kitu cha ajabu kwa wototo hawa ni kwamba huwa hawaonekani kama ni Watoto,
Mambo yao wanayofanya, ukizungumza nao jinsi anavyukutizama anavyokujibu, ni kama watu wazima, kadri wanavyozidi kukua na hii ni kweli ambayo ni kama uongo wanakuwa na utoto na huwa hawajali, na wanafanya mambo bila kufikiria.

Nyota hii wana Jazba na hisia kali ambazo huwa hawazionyeshi, na wana aibu
sana. Hisia zao wanazitumia wanapotaka kujitetea, kwa hiyo ni juu ya wazazi wa
Watoto hawa kuwasidia ili wajihisi wako huru kuelezea hisia zao. Hawa
Hawa mbuzi wadogo wana kipaji cha muziki ambacho kinahitaji kuendelezwa, ili kuwasaidia mzazi umsisitze umzoeshe kusoma vitabu tangu wadogo. Vile vile ni vizuri sana kuwapeleka katika starehe za nje mara kwa mara.

wana tabia ya kulalamika na kunungunika halafu wanabadilika ghafla na kuwa
wacheshi na kuchekesha wenziwao
Pamoja na udogo wake mzazi unatakiwa umchuklulie mtoto huyu kama mtu mzima na umpe majukumu mazito na atayatekeleza
Hawa mbuzi wanapenda mipangilio inayoeleweka kwa sababu inawasaidi kuwapa ulinzi wanaohitaji na kama unataka kuvunja utaratibu huo tafadhjali mtahadharishe kabla hujafanya lolote au sivyo kutatokea mikwaruzano..

NDOO
Nyota ya Ndoo kwa watoto waliozaliwa kati ya Tarehe 21 Januari mpaka tarehe 19 Februari
Nyota ya Ndoo kwa watoto waliozaliwa kati ya Tarehe 21 Januari mpaka tarehe 19 Februari
Watoto hawa
wako tofauti sana na ndugu zao wa kike na wa kiume. Kiasili Ni Watoto wabunifu
na wana ubinaadamu, pamoja na ukarimu wao lakini wanahitaji mapenzi, kupendwa
na msaada kutoka kwa wazazi ili waelezee hisia zao na yale yanayowasibu
moyoni.vinginevyo hujihisi kama wametengwa
Mbuzi wadogo wanapenda sana kuwa huru na ukiwazuia katika hilo wanakuwa wasumbufu sana.

Shuleni
maendeleo yao yanaweza kuwa ni nusu kwa nusu, hasa wanapohisi kwamba wamepewa
kazi za kufanya ambazo zina masharti mengi na sheria nyingi Ndoo wadogo wana
vipaji na uwezo mkubwa wa akili ambao unahitaji kuendelezwa. Wakiachiwa wenyewe
inakuwa vigumu kwao kujisaidia. hawezi kutafautisha kuni na miti. Watoto wa
ndoo huwa wanapenda sana kujua jinsi vitu vinavyofanya kazi hasa midoli
inayotumia mashini ambayo wataibomoa wajue ndani kuna nini
Unaonywa wewe mzazi motto huyu akipata nafasi ya kukifikia kitu cha thamani hapo nyumbani unaweza kulia.

SAMAKI
Nyota ya Samaki kwa watoto waliozaliwa kati ya Tarehe 20 Februari mpaka tarehe 20 Machi)
Kama ukiwa na mtoto mwenye rafiki mmoja au wawili wa kufikirika basi mtoto huyo atakuwa ni wa Nyota ya samaki.

Hawa samaki
Watoto wana hisia nzito na ni wapole sana, na wanaishi katika ulimwengu wa
ndoto na kufikirika wakipambana na uhalisi na ukweli wa kimaisha. Pamoja na
ndoto zao ndani ya nyoyo zao wana shauku na ari ya kutekeleza malengo yao.
Hawa samaki
wadogo wana akili nzuri sana lakini mipangilio ya shuleni kufanya masomo kwa
ghibu huwa inawasumbua na hivyo kuonekana wavivu na huwa nyuma kimasomo..
Watoto hawa wa Nyota ya samaki ni wenye kubadilika badilika
wakati wote na hupenda kunakshi ukweli.
Wana tabia ya kuwaambia watu wengine kile watu hao wanachotaka kusikia, sio kile ambacho yeye anahisi ambapo mara nyingi kinakuwa hakina maana au kinawafanya wao kuonekana waongo.
Nafikiri mmenufaika na elimu hii kesho nawaletea mambo mapya ahsanten

Comments
Post a Comment