NYOTA ZENU SIKU NZURI NA MBAYA ZA KILA NYOTA:
NYOTA ZENU
SIKU NZURI NA MBAYA ZA KILA NYOTA:
SIKU NZURI NA MBAYA ZA KILA NYOTA:
PUNDA:
Majina ya kuanzia na herufi A, M, Y.
Siku yao nzuri:
Jumanne mchana
Siku Mbaya:
Jumanne usiku na Jumatano mchana
Ni siku za
Mikosi, Kifo, Kesi, na mabalaa, usifanye mapenzi, ni siku ya mikosi na balaa
kwa watoto.
NG’OMBE:
Majina ya kuanzia na herufi B, N, Z.
Siku yao
nzuri: Ijumaa mchana
Siku Mbaya:
Jumamosi na Jumatano usiku
Shida yoyote
ikikufikia wakati huu haiponi au itakumaliza.
MAPACHA:
Majina ya kuanzia na herufi C, na O.
Siku yao
nzuri: Jumatano mchana
Siku Mbaya:
Jumanne usiku na Jumatatu mchana
KAA: Majina
ya kuanzia na herufi D au P.
Siku yao
nzuri: Jumatatu mchana
Siku Mbaya:
Jumanne mchana
SIMBA:
Majina ya kuanzia na herufi E na Q
Siku yao
nzuri: Jumapili
Siku Mbaya:
Alkhamisi mchana na Jumatatu mchana
MASHUKE:
Majina ya kuanzia na herufi F na R.
yao nzuri:
Jumatano mchana
Siku Mbaya:
Jumanne mchana
MIZANI:
Majina ya kuanzia na herufi G na S.
Siku yao
nzuri: Ijumaa mchana
Siku Mbaya:
Jumatano mchana na Jumapili usiku.
NGE: Majina
ya kuanzia na herufi H na T.
Siku yao
nzuri: Jumanne mchana
Siku Mbaya:
Jumatano mchana na Jumapili usiku.
MSHALE:
Majina ya kuanzia na herufi I na U.
Siku yao
nzuri: Alkhamisi mchana
Siku Mbaya:
Jumatatu mchana
MBUZI:
Majina ya kuanzia na herufi J na V.
Siku yao
nzuri: Jumamosi
Siku Mbaya:
Jumapili mchana na Jumatatu usiku.
NDOO: Majina
ya kuanzia na herufi K na W.
Siku yao
nzuri: Jumamosi mchana
Siku Mbaya:
Ijumaa mchana (Kufikwa na janga).
SAMAKI:
Majina ya kuanzia na herufi L na X.
Siku yao
nzuri: Alkhamisi (Fanya mipango na biashara kuanzia asubuhi mapema)
Siku Mbaya:
Jumamosi mchana na Jumanne usiku

Comments
Post a Comment