SURA ZA MAJINI NA MASHETANI:
SURA ZA MAJINI NA MASHETANI:
Majini sura zao ni za kutisha
na mfano wake ni kama Matunda ya Mti wa Zaqum ambao unatoa matunda yenye sura
mbaya na yanayofanana na mawe.
Majini wanakuwa na mkutano kila siku nyakati za kuchomoza na kuzama Jua na nyakati hizo ndizo ambazo wanafanya maasi yao.
Majini wanakuwa na mkutano kila siku nyakati za kuchomoza na kuzama Jua na nyakati hizo ndizo ambazo wanafanya maasi yao.
Fitna na Maasi yao mengi
wanafanyia upande wa Mashariki.
Majini vilevile wanaweza kujigeuza kama mbwa mweusi au paka mweusi kwa sababu Majini wanapenda Rangi Nyeusi kwa sababu ya kiza.
Majini vilevile wanaweza kujigeuza kama mbwa mweusi au paka mweusi kwa sababu Majini wanapenda Rangi Nyeusi kwa sababu ya kiza.
WANAKULA NINI?
Majini wao wanakula mifupa na
mavi ya farasi. Hivyo ni vyaluka vyao vikuu pamoja na kwamba wengine wanakula
Moshi (Ubani) na wengine wanapenda kunywa damu.
Wanapokula au kunywa, wao
hutumia mkono wa kushoto na Majini wazuri ndio ambao wanakula mifupa mizuri na
kuwaachia mifupa mibaya na uchafu Majini wabaya au Mashetani.
JE MAJINI WANAZAA?
Majini wanaoa na kuongezeka
kama tulivyo Binadamu na huzaana kwa wingi sana.
Katika wao kuna wale wanaokula na kuoana na kuna wale ambao hawafanyi hayo.
Katika wao kuna wale wanaokula na kuoana na kuna wale ambao hawafanyi hayo.
Binadamu Mwanamume ana uwezo
wa kumuoa Jini Mwanamke na Jini wa Kiume ana uwezo wa kumuoa Binadamu Mwanamke
pamoja na kwamba ndoa inayotambulika na Mwenyezi Mungu ni ya kiumbe kwa kiumbe
yaani Binadamu kwa Binadamu na Jini kwa Jini.
Haya ni baadhi ya maelezo
kuhusu Majini, zidi kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwani hii ni mwanzo tu
na tutazidi kuwaletea habari za ndani kuhusu majini na tabia zao, jinsi ya
kujikinga nao au kushirikiana nao.
JE UNAWEZA KUWAONA MAJINI?
Majini hawawezi kuonekana kwa
macho ya kawaida ila kwa Utaalam Maalum, ingawa Mtu yeyote unaweza Kumuita,
Kumuona na hata Kumtuma Jini akufanyie au akuletee kitu chochote kile Naye
akafanya vivyo hivyo kama
ulivyomuagiza; katika njia
Rahisi kabisa kama inavyoelezwa hapo chini. Wao wana uwezo wa kutuona sisi.
Viumbe ambao wana uwezo wa kuwaona Majini au Mashetani kwa macho yao ni Mbwa na Punda
Viumbe ambao wana uwezo wa kuwaona Majini au Mashetani kwa macho yao ni Mbwa na Punda
Ukimsikia Mbwa anabweka bila
sababu yeyote basi atakuwa amemuona Jini au Shetani yuko karibu au anapita.
Maelezo haya yamethibitishwa na Wanazuoni kuhusu kuonekana vile vitu ambavyo
sisi hatuvioni.
Mfano mwingine ni kwamba
Sisimizi ana uwezo wa kuona miale ya mwangaza yenye rangi ya urujuani na kwa
hiyo kuona Jua litokeapo kwenye mawingu na Popo nae ana uwezo wa kumuona Panya
kwenye giza nene.
KUMUONA JINI:
Iwapo unataka kwa haraka
kuona Majini na kuwatumia; tamka Majina haya MARA 1,000;
1. Salsal, Salsal
........................x 1,000.
2. Akmash, Akmash..................x 1,000.
3. Laash, Laash......................... .x 1,000.
2. Akmash, Akmash..................x 1,000.
3. Laash, Laash......................... .x 1,000.
Tamka maji na hayo hapo juu,
huku ukiwa unafukiza Ubani Maka, Kuzbara na Majani ya Mnazi wa Kipemba au
majani ya Mtende au majani ya Mchikichi.
Ukiwa sawa (yaani uwe msafi, mahali safi na nguo safi); atakutokea Paka mweusi au Taa kuzimika au kutokea Moshi mweusi.
Ukiwa sawa (yaani uwe msafi, mahali safi na nguo safi); atakutokea Paka mweusi au Taa kuzimika au kutokea Moshi mweusi.
Ndio huyo – Muagize lolote
lile ulitakalo; akuitie Mpenzi, Pesa, cheo au Ushindi.
Ni vizuri pia ujue ni wakati gani au ni Sayari gani inayotawala ili ujue ni Jini yupi atakaekuja.
Ni vizuri pia ujue ni wakati gani au ni Sayari gani inayotawala ili ujue ni Jini yupi atakaekuja.
Unashauriwa;
Uwe na nia ya kweli na wala
si mchezo au kufanya majaribio.
Usiwe muoga, kwani iwapo utakuwa muoga anaweza kukudhuru.
Usiwe muoga, kwani iwapo utakuwa muoga anaweza kukudhuru.
Kuwatumia au Kujikinga na
Majini

Comments
Post a Comment