TUNAWEZA KUWAUA MAJINI?
SURA ZA
MAJINI NA MASHETANI:
Majini sura
zao ni za kutisha na mfano wake ni kama Matunda ya Mti wa Zaqum ambao unatoa
matunda yenye sura mbaya na yanayofanana na mawe.
Majini
wanakuwa na mkutano kila siku nyakati za kuchomoza na kuzama Jua na nyakati
hizo ndizo ambazo wanafanya maasi yao.
Fitna na
Maasi yao mengi wanafanyia upande wa Mashariki.
Majini vilevile wanaweza kujigeuza kama mbwa mweusi au paka mweusi kwa sababu Majini wanapenda Rangi Nyeusi kwa sababu ya kiza.
Majini vilevile wanaweza kujigeuza kama mbwa mweusi au paka mweusi kwa sababu Majini wanapenda Rangi Nyeusi kwa sababu ya kiza.
UADUI WA
MAJINI NA BINADAMU:
Majini na
Binadamu wana Uadui wa asili tangu pale Binadamu alipoumbwa na kabla Mwenyezi
Mungu hajampulizia Roho; Shetani akawa anauzunguka mwili wa binaadam na kusema
“Nikipewa Uongozi juu yako basi nitakufanya uwe Aaswi (Usimsikilize Mola wako)
na ikiwa utapewa wewe Uongozi basi nitakuangamiza”.
Mungu alipompulizia Roho Adamu aliwaamrisha Ibilisi na Malaika wamsujudie lakini Ibilisi alikataa kwa kusema kwamba Yeye ni bora kuliko Binadamu.
Mungu alipompulizia Roho Adamu aliwaamrisha Ibilisi na Malaika wamsujudie lakini Ibilisi alikataa kwa kusema kwamba Yeye ni bora kuliko Binadamu.
JE MAJINI
WANAKUFA?
Majini na Mashetani nao wanakufa isipokuwa wao wanaishi miaka mingi kuliko Binadamu kwa sababu hawana maumbo maalum.
Majini na Mashetani nao wanakufa isipokuwa wao wanaishi miaka mingi kuliko Binadamu kwa sababu hawana maumbo maalum.
TUNAWEZA
KUWAUA MAJINI?
Majini
tunaoishi nao nyumbani mwetu tunaweza kuwaua kwa kutumia utaalamu Maalum.
Lakini kabla ya kufanya hivyo unatakiwa umuadhinie mara tatu Kidini yako au
Umtaje Mwenyezi Mungu mara tatu; asipobadilika au
kuchukua
mfano mwingine muache, lakini akibadilika muuwe huyo atakuwa Shetani.
Shetani anapohisi Binadamu anataka kumdhuru basi hukimbia kama vile damu inavyokimbia kwenye mishipa ya damu.
Shetani anapohisi Binadamu anataka kumdhuru basi hukimbia kama vile damu inavyokimbia kwenye mishipa ya damu.
Uchawi
Makaburini
Ifuatayo ni
sehemu ya Vipindi mbalimbali vya Television vya Nyota Zenu kama jinsi ambavyo
vimerushwa katika TV ya Channel 10 na hapa ni sehemu ya Vipindi hivyo.
Sehemu ya Video inayoonyesha namna watu wanavyofanya Uchawi Makaburini.
Sehemu ya Video inayoonyesha namna watu wanavyofanya Uchawi Makaburini.
MAUMBO NA
SURA ZA MAJINI KULINGANA NA SAYARI ZAO
1. Majini wa Saturn (Zohal) - Majini wa Jumamosi
1. Majini wa Saturn (Zohal) - Majini wa Jumamosi
Majini hawa
huwa ni warefu, wembamba na wenye sura ya ukatili na kutisha, wana nyuso nne
ambazo kila moja iko kila upande wa kichwa, yaani kwa mbele na nyuma sura
inakua na midomo kama ya ndege.
Pia wana
sura nyeusi inayon’gaa katika kila goti. Mwendo wao ni kama mwendo wa upepo
ambao huambatana na radi.
Alama yao ni ardhi nyeupe kuliko theluji.
Umbo lao maalum ni kama Mfalme mwenye ndevu anaemuendesha DRAGON.
Umbo lingine ni la mtu mzee mwenye ndevu
Umbo lingine ni la Bibi kizee ambae anaegemea kitu
Umbo lingine ni la Mvulana
Umbo lingine ni la Dragon
Umbo lingine ni la Bundi (Owl)
Umbo lingine ni la Nguo nyeusi isiyo na mwili
Umbo lingine ni la Ndoano au Mundu
Umbo lingine ni la mti wa Mreteni

2. Majini wa
Jupiter (Mushtara) - Majini wa Alhamisi
Majini wa
sayari hii wanakuwa na mwili mwekundu na umbo la kati siyo wakubwa wala siyo
wadogo, mwendo wao na mwondoko wao ni wa kutisha na wa kuogopesha lakini na
wapole na wanao ongea taratibu.
Wana rangi
ya chuma ambayo inawaunganisha wao na Sayari ya Mars (Mariikh). Mwendo wao ni
ule wa umeme ukiambatana na ngurumo za radi.
Alama yao ni
ya mizuka ya watu ambao miili yao ni kama iliyojeruhiwa na Simba.
Umbo lao maalum ni la Mfalme mwenye Upanga akiwa mgongoni mwa Simba akimwendesha.
Umbo lingine ni la Mtu aliyevalia rasmi Nguo za Chuma za Kivita.
Umbo lingine ni la Kijakazi aliyevaa Taji lililopambwa kwa Maua.
Umbo lingine ni la Ng’ombe Dume.
Umbo lingine ni la Paa dume
Umbo lingine ni la Tausi
Umbo lingine ni la Nguo ya rangi ya bluu isiyokua na mwili.
Umbo lingine ni la Upanga.
Umbo lingine ni la Mti wa Mbuyu.

{mospagebreak}
3. Majini wa
Mars (Mariikh) - Majini wa Jumanne
Majini wa
Mars (Mariikh) wanakuwa na Umbo refu, Mwili Mwekundu, mchafu na hutoa harufu
yenye kutia kinyaa. Huwa wanajitokeza pia katika mwili wenye rangi Nyekundu,
Kahawia au Nyeusi. Wana mapembe kama ya mnyama aitwaye Ayala (Hart), kucha kama
za Simba, Wanatoa sauti kama za Nyati (Mbogo).
Mwendo wao
ni kama mwendo wa moto unaowaka na Alama yao ni radi na umeme unaowaka kwa
katikati.
Umbo lao maalum ni la Mfalme aliyevalia kivita akiwa amempanda Mbweha (Mbwa mwitu).
Umbo lao lingine ni la Mwanamme aliye na silaha.
Umbo lao lingine ni la Mwanamke aliyeshikilia Ngao kwenye mapaja yake.
Umbo lao lingine ni la Mbuzi Jike.
Umbo lao lingine ni la Farasi.
Umbo lao lingine ni la Paa.
Umbo lao lingine ni la Nguo Nyekundu isiyokuwa na mwili.
Umbo lao lingine ni la Sufi.

4. Majini wa
Sayari ya Jua (Shams) - Majini wa Jumapili
Majini wa
Sayari ya Jua (Shams) wana viungo na umbo la kati, wasiovutia na dhalimu, wana
Sura nyekundu na rangi ya dhahabu iliyochanganyikana na Damu.
Mwendo wao
ni mfano wa Umeme na Alama yao kubwa ni kusababisha mwenye kumuita kutokwa na
jasho jingi (ambapo hii ni kawaida kwa Viumbe hivi ambavyo ni vigumu
kuelezeka).
Umbo lao
maalum ni la Mfalme aliyebeba fimbo ya kifalme huku akiwa amempanda Simba.
Umbo lao lingine ni la Mfalme aliyevikwa Taji.
Umbo lao lingine ni la Malkia mwenye Fimbo ya Kifalme.
Umbo lao lingine ni la Ndege wa aina yeyote isipokuwa wale ndege ambao wanawakilisha peponi.
Umbo lao lingine ni la Simba.
Umbo lao lingine ni la Jogoo.
Umbo lao lingine ni la Nguo ya Dhahabu isiyokuwa na mwili.
Umbo lao lingine ni la Fimbo ya Kifalme.
Umbo lao lingine la mwisho ambalo kwa kweli ni la kutisha sana; ni lile la Kiumbe ambaye haeleweki eleweki vizuri na ni vigumu kumuelezea ila ana mkia.

5. Majini wa
Sayari ya Venus (Zuhura) - Majini wa Ijumaa
Majini wa
Sayari ya Venus wana Umbo la kati na ambalo ni zuri kwa kuliangalia ambapo
sehemu yao ya juu ni ya dhahabu na sehemu yao ya chini katika mwili ni ya rangi
nyeupe au kijani.
Mwendo wao
ni kama wa mwendo wa Nyota inayong’aa. Alama yao ni ile inayofanana na Wanawake
wanaocheza katikati ya Mduara, huku wakimshawishi na kumtamanisha
Mwanamazingaombwe ajiunge nao.
{mospagebreak}
{mospagebreak}
Umbo lao
maalum ni:-
Ni la Mfalme
aliyebeba Fimbo ya Kifalme huku akiwa anamwendesha Ngamia.
Umbo lao lingine ni la Mwanamke aliye Uchi.
Umbo lao lingine ni la Mbuzi Mwanamke.
Umbo lao lingine ni la Ngamia; ambaye huwakilisha Shetani mbaya aitwae Cazote.
Umbo lao lingine ni la Njiwa.
Umbo lao lingine ni la Nguo isiyokuwa na mwili ya rangi Nyeupe au Kijani.
Umbo lao lingine ni la Mmea uitwao “Savine”.

6. Majini wa
Sayari ya Mercury (Attwarid) - Majini wa Jumatano
Majini wa
Sayari ya Mercury (Attwarid) mara nyingi hutokea na mwili wa Kati, Baridi,
Majimaji, Unyevu nyevu. Kwa ujumla maana yake ni kusema kuwa Majini hawa wa
Sayari ya Mercury wanafanana na maumbile ya Mercury (Zebaki).
Muonekano wa
Majini hawa ni wa kuridhisha, ni Wachangamfu katika maongezi, wana Umbo la
Kibinadamu, na wanaonekana kama Shujaa aliye na silaha.
Mwendo wao
ni kama wa Mawingu ya rangi ya Fedha. Alama yao ni kuwa wanasababisha Vitisho,
Hofu na Woga kwa mwenye kuwaita.
Umbo lao Maalum ni la Mfalme anaemuendesha Dubu.
Umbo lao lingine ni la Kijana Mzuri wa Kuvutia.
Umbo lao lingine ni la Mwanamke aliyebeba Kijiti cha kukunjia Uzi chenye bonge la uzi.
Umbo lao lingine ni la Mbwa.
Umbo lao lingine ni la Dubu Jike.
Umbo lao lingine ni la Kunguru; Kunguru hawa hutumwa kwenda kusaidia katika Kazi za Kichawi na Kijini kwa Kuchukua Nguo za Ndani za Watu, Soksi, Vijiko, na vitu vingine vidogo dogo kama hivyo. Ndio maana katika aina nyingi za Ndege, Kunguru mara nyingi ndio huchukua vitu vya ajabu ajabu ambavyo ndege wengine hawawezi kuvichukua.
Umbo lao lingine ni la Nguo isiyo na mwili yenye kubadilika badilika rangi.
Umbo lao lingine ni la Fimbo, Rungu, Bakora au Gongo dogo.

7. Majini wa
Sayari ya Moon (Qamar) - Majini wa Jumatatu
Majini wa
Sayari ya Moon – Mwezi (Qamar) wana Maumbo makubwa, Laini, Tulivu na rangi yao
ni kama wingu jeusi.
Muenekano wao ni umbo lililotuna, Vichwa vyao vina upara, Macho yao ni Mekundu na yanatoa Majimaji, Meno yao ni kama ya Nguruwe Mwitu.
Muenekano wao ni umbo lililotuna, Vichwa vyao vina upara, Macho yao ni Mekundu na yanatoa Majimaji, Meno yao ni kama ya Nguruwe Mwitu.
Mwendo wao
ni kama Dhoruba kubwa Baharini. Alama yao ni ni Mvua kubwa inayonyesha katika
Mduara.
Umbo lao Maalum ni:-
Ni la Mtu kama Mfalme anayerusha Mishale huku akiwa anamuendesha Swala Jike.
Umbo lao lingine ni la Kijana Mdogo wa Kiume.
Umbo lao lingine ni la Mwindaji wa Kike mwenye Upinde na Mishale.
Umbo lao lingine ni la Ng’ombe.
Umbo lao lingine ni la Swala Mdogo.
Umbo lao lingine ni la Bata.
Umbo lao lingine ni la Nguo isiyokuwa na Mwili yenye rangi ya Kijani au Fedha.
Umbo lao lingine ni la Mshale.
Umbo lao lingine ni la Kiumbe mwenye Miguu Mingi mfano wa Tandu.

SERIKALI YA
MAJINI
Majini wana Utawala wao ambao ni Majini Wakuu na Majini wa Kawaida wanaopewa Kazi za kufanya na Wakuu wao, Katika Serikali yao kuna Wakuu wa Serikali, Wakuu wa Majeshi, Wakuu wa Mahakama na wengineo wengi.

Utawala
katika Serikali yao umegawanyika katika sehemu Kuu mbili (2);
Utawala
katika Ulimwengu wa Kijini.
Utawala katika Ulimwengu huu wetu wa Kibinadamu.
Utawala katika Ulimwengu huu wetu wa Kibinadamu.
Majini Wakuu
kabisa wapo Watatu (3) ambao Majina yao ni;
Lucifer.................ambae
ndio Mfalme wao (Emperor),
Beelzebuth.......... ambae ni Mtoto wa Mfalme (Prince),
Astaroth ..............ambae ni Mtawala Mkuu wa Majimbo (Grand Duke).
Beelzebuth.......... ambae ni Mtoto wa Mfalme (Prince),
Astaroth ..............ambae ni Mtawala Mkuu wa Majimbo (Grand Duke).
Hawa
Watawala Wakuu kabisa watatu, iwapo Binadamu anataka kuwaita na kuwatumia
inambidi atumie njia Maalum;
Mtu
anayewaita anatakiwa achore alama zao kwa kutumia Damu yake mwenyewe, au
anaweza pia kutumia Damu ya Kobe wa Baharini (Kasa) katika kuandikia.
Iwapo atashindwa haya yote basi anaweza pia kuwaita kwa kuchora alama za Majini hao kwenye Kito cha Ruby au
Iwapo atashindwa haya yote basi anaweza pia kuwaita kwa kuchora alama za Majini hao kwenye Kito cha Ruby au
Emarald;
kwani vito hivi vinaendana sana na Majini hasa wale wa Ukoo wa Jua, ambao huwa
na Busara, wazuri na Marafiki zaidi kuliko aina nyingine ya Majini.
Alama hizi
za Majini zinatakiwa zivaliwe na Mtu ambae anataka kuwaita. Ikiwa muitaji ni
Mwanamme, anatakiwa aiweke kwenye Mfuko wake wa Kulia na iwapo ni Mwanamke,
anatakiwa aiweke katikati ya Matiti yake ikielekea upande wa Kushoto.
Alama hizi
zinatakiwa ziandikwe katika siku ya Jumanne saa Kumi na mbili (12) mpaka saa
moja asubuhi au saa saba mchana mpaka saa nane kwa majini wote.
Majini hawa
watatu wana uwezo wa kufanya mambo yote, na kwa Mtu ambae anawaita hawa
anatakiwa aheshimu wale tu ambao watamheshimu kwani Majini hawa Wakuu
wanawaheshimu wale tu ambao ni Marafiki wao Wakuu na wa karibu, hivyo mtu
anaeamua kuwaita anatakiwa ajihadhari kwa lolote ambalo linaweza kutokea.
Utawala wa
hawa umegawanyika baina yao wote kwani kila mmoja ana Wasaidizi wake wakuu
Wawili ambao nao huwa wanawatuma Majini wengine kuhusu mambo ambayo Mfalme wao
Lucifa ameagiza yafanyike Duniani kote.
Wasaidizi
walio chini ya Lucifa ni;
Put Satanachia na
Agaliarept;.............Ambao wanaishi Bara la ULAYA na ASIA.
Wasaidizi walio chini ya Beelzebuth ni;
Tarchimache na
Fleurety...................Amb ao wanaishi Bara la AFRIKA.
Wasaidizi walio chini ya Astaroth ni;
Sargatanas na
Nebiros.............Ambao wanaishi Bara la AMERIKA.

katika Serikali yao kulingana na Kazi zao ni kama ifuatavyo;
LUCIFUGE
ROFOCALE....ambae ni Waziri Mkuu (Prime Minister)
SATANACHIA.........ambae ni Amiri Jeshi Mkuu (Commander-in-Chief)
AGALIAREPT......ambae ni Kamanda wa Majeshi
FLEURETY.........ambae ni Luteni Jenerali (Lieutenant-General).
SARGATANAS.....ambae ni Brigedia Meja (Brigadier-Major)
NEBIROS....ambae ni Jemedari Mkuu na ni Inspekta Jenerali (Field-Marshal and Inspector-General).

Kama jinsi
ilivyoonekana hapa ya kuwa Utawala wao katika Ulimwengu wao wa Kijini umekaa
KIJESHI lakini Utawala wao hapa Duniani sio wa Kijeshi kwani;
1. LUCIFUGE
ROFOCALE; ana Mamlaka ambayo amepewa na LUCIFA ya kudhibiti Mali na Hazina zote
za hapa Duniani.
Wasaidizi wake ni Baal, Agares na Marbas.
Wasaidizi wake ni Baal, Agares na Marbas.
2.
SATANACHIA ana Mamlaka juu ya Wake, Wanawake, na Wasichana wote ambapo ana
uwezo wa kuwafanyia kama jinsi atakavyopenda yeye.
Wasaidizi wake ni Pruslas, Aamon na Barbatos.
Wasaidizi wake ni Pruslas, Aamon na Barbatos.
3.
AGALIAREPT
Ana Mamlaka na Uwezo wa kugundua Siri zote zilizopo katika Mabaraza na Mahakama zote hapa Duniani.
Anavumbua Siri za hali ya juu sana.
Anaamuru Kikosi cha Pili cha Majini wasiopungua 3,000).
Wasaidizi wake ni Buer, Gusoyn, na Botis.

4. FLEURETY
Ana Mamlaka na Nguvu za Kufanya Kazi yeyote Usiku na anasababisha mvua ya Mawe katika sehemu yeyote ile itakayoitajika.
Anaongoza na Kudhibiti Jeshi kubwa la Majini.
Wasaidizi wake ni Bathsin (au Bathim), Pursan, na Eligor.

5.
SARGATANAS ana Nguvu na Mamlaka ya;
Kumfanya Mtu yeyote asionekane.
Anasafirisha Mtu yeyote kwenda sehemu yeyote ile.
Kufungua Loki na Kufuli zote Duniani,
Kuonyesha na kuweka wazi mambo yote yanayofanyika ndani ya Nyumba za Watu binafsi.
Anafundisha mbinu zote za Uchungaji wa Wanyama.
Anadhibiti na Kuamuru Vikosi Kadhaa vya Majini wasiopungua 5,000 kwa kila kikosi.
Wasaidizi wake ni Zoray, Valefar na Faraii.

6. NEBIROS
ana uwezo wa;
Kushurutisha
Uovu kwa Mtu yeyote amtakaye.
Ana uwezo wa Kumletea Mtu Fahari Kuu.
Ana uwezo wa Kumletea Mtu Fahari Kuu.
Ana uwezo wa
Kumuonyesha Mtu vitu Bora kama vile; Madini, Mawe, Mboga, na Wanyama.
Ana uwezo Mkubwa wa Kutabiri vitu vitakavyotokea hapo baadae; kwani Huyu ndiye Mkuu wa Utabiri katika Ulimwengu wa Kijini.
Ana uwezo Mkubwa wa Kutabiri vitu vitakavyotokea hapo baadae; kwani Huyu ndiye Mkuu wa Utabiri katika Ulimwengu wa Kijini.
Anazunguka
zunguka huko na huko kila sehemu kwa ajili ya Kuangalia, kuchunguza na Kukagua
aina zote za Maangamizi.
Wasaidizi wake ni Ayperos, Naberrs na Glassyalabolas.
Wasaidizi wake ni Ayperos, Naberrs na Glassyalabolas.
Kuna
Mamilioni ya Majini wengine ambao nao wapo chini ya hao waliotajwa hapo juu na
hutumika tu pale inapoonekana ya kuwa kuna Kazi ya kufanya kutoka kwa Wakuu wao,
kwani wao hutumiwa na Wakuu wao kama Wafanyakazi au Watumwa.
Hata hivyo
kuna Majini Wasaidizi Muhimu Kumi na Saba (17) ambao wao hufanya Kazi kama
Mawaziri wa Wale Majini Wakuu Sita (6), Majini hao pamoja na Kazi zao ni kama
ifuatavyo;
1. CLAUNECK;
Ana Nguvu na
Mamlaka juu ya Vitu na Utajiri,
Anaweza Kuvumbua Hazina iliyofichwa, kwa yeyote atakayeweka Mkataba nae,
Ana uwezo wa Kumzawadia Mtu Utajiri mkubwa kwani yeye anapendwa sana na Lucifer,
Ana uwezo wa kukuletea Pesa kutoka mbali;
Mtii naye atakutii!

2. MUSISIN;
Ana Nguvu juu ya Mabwana Wakuu, anawapa Maelekezo kuhusu yale yanayotokea na kupitishwa katika Serikali zao na za Washirika wao.
Ana Nguvu juu ya Mabwana Wakuu, anawapa Maelekezo kuhusu yale yanayotokea na kupitishwa katika Serikali zao na za Washirika wao.
3. BECHARD;
Ana Nguvu na Mamlaka juu ya Upepo, Dhoruba (Tufani), Radi, Umeme, Mvua na Mvua ya Mawe, kwa kutumia uchawi wa Chura na Vitu vingine vya namna hii.
Ana Nguvu na Mamlaka juu ya Upepo, Dhoruba (Tufani), Radi, Umeme, Mvua na Mvua ya Mawe, kwa kutumia uchawi wa Chura na Vitu vingine vya namna hii.
4. FRIMOST
Ana uwezo juu ya Wake na Wanawali na ana uwezo wa kukusaidia kuwafurahia.
5. KHIL ....Husababisha Mtetemeko wa Ardhi.
Ana uwezo juu ya Wake na Wanawali na ana uwezo wa kukusaidia kuwafurahia.
5. KHIL ....Husababisha Mtetemeko wa Ardhi.
6. MERSILDE:
Ana uwezo wa kukusafirisha mara moja sehemu yeyote uitakayo.
7. CLISTHERET:
Ana uwezo wa kukugeuzia usiku na mchana kwa kupenda kwako.
{mospagebreak}
{mospagebreak}
8. SIRCHADE:
Ana uwezo wa kukuonyesha wewe aina zote zile za wanyama katika umbo lolote lile
walilonalo.
9. SEGAL:
Ana uwezo wa kukuonyesha dhahiri miujiza yeyote iwe ya kawaida au ya
kimazingaombwe.
10.
HIEPATCH: Ana uwezo wa kukuletea mtu aliye mbali papo hapo.
11. HUMOTS:
Ana uwezo wa kusafirisha aina zote za vitabu kwa starehe yake.
12.
FRUCIESSEIERE: Ana uwezo wa kuwafufua wafu.
13. GULAND:
Ana uwezo wa kusababisha aina yote ya maradhi.
14. SURGAT:
Ana uwezo wa kufungua aina zote za Loki.
15. MORAIL:
Ana uwezo wa kufanya vitu vyote Duniani visionekane.
16.
FRUTIMIERE: Ana uwezo wa kukupa kila aina ya sherehe.
17.
HUICTIIGARA: Ana uwezo wa kusababisha kutembea usingizini na kwa wengine
kuwakosesha usingizi kabisa.
Satanachia
na Satanisie wanawatawala majini 45 au 50 wanne katika hao ni Surgutthy,
Heramael, Trimasel na
Sustugriel.
Wawili wa hawa ni machifu na waliosalia hawana umuhimu wowote.
Hawa ni
Majini watumikao kwa binadamu kwa urahisi na haraka lau ikiwa wanaelewana na
anaemuita,
Serguthy ana
uwezo juu ya wake za watu na wanawali
Heramael
anafundisha elimu ya madawa na anatoa na ujuzi kamili wa magonjwa yote, tiba
zake sahihi, anafundisha
aina ya
mimea yote, sehemu mimea hiyo inapatikana, nyakati nzuri ya kuipata, umuhimu wa
mimea hiyo na namna ya kuchanganya mimea hiyo ili kupata dawa sahihi kwa
maradhi ya aina yeyote ile.
Trimasel na
Sustugriel hawa wawili ni Machifu na wanatoa elimu ya kichawi kwa wale
wanaowapenda.
Agalierept
na Tarihimal wanamtawala Elelogap, ambae nguvu zake zipo juu ya Maji.
Nebirots
Wawili wawatawala Hael na Sergulath.
Hael anatoa
maelezo juu ya Usanii wa kuandika kila aina ya Barua, anampa Mtu uwezo wa
kuongea mara moja kila
aina ya
Lugha na anaelezea na kufumbua vitu vyote vya siri.
Sergulath ana uwezo wa Kufundisha Mtu njia mbalimbali za kuvunja pande ambazo hazielewani.
Sergulath ana uwezo wa Kufundisha Mtu njia mbalimbali za kuvunja pande ambazo hazielewani.
Hawa wana
Wasaidizi wao Wanane (8) wenye nguvu
1. Proculo
ambae ana uwezo wa kumpatia Mtu usingizi kwa muda wa masaa manane huku akiwa
anafahamu yanayotokea usingizini.
2. Haristum
ambae anampa Mtu uwezo wa Kupita kwenye Moto bila ya kuungua.
3. Brulefer,
ambae ana uwezo wa Kumfanya Mtu apendwe na Wanawake.
4.
Pentagnony, ambae anawapa Watu uwezo wa Kutokuonekana (Invisible), pia
anapendwa sana na Watawala Wakuu
5. Aglasis,
ana uwezo wa Kumsafirisha Mtu kwenda sehemu yeyote ile Duniani.
6.
Sidragrosam, anawafanya Wanawake wacheze Uchi.
7. Minoson,
ana uwezo wa Kumhakikishia Mtu kushinda katika Michezo yeyote ukiwepo wa
Kamari.
8. Bucon ambae ana Uwezo wa kuanzisha Chuki na Wivu kati ya
Jinsia mbili (Wanaume na Wanawake)

Comments
Post a Comment